Home Uncategorized LIGI YA MABINGWA: PLATEAU UNITED 0-0 SIMBA

LIGI YA MABINGWA: PLATEAU UNITED 0-0 SIMBA


 Uwanja wa New Jos

Ligi ya Mabingwa Afrika

Novemba 29, hatua ya awali

Kipindi cha kwanza


Plateau United 0-0 Simba

Dakika ya 45 Adam Abubakari anadaka faulo ya iliyopigwa na Luis, Tshabalala anaonyeshwa kadi ya njano, Bocco anachezewa faulo na wana Plateau United.

Dakika ya 44 Dilunga anapoteza nafasi na Kapombe anachezewa faulo

Dakika ya 43 Tshabalala anarusha kwa Bocco 

Dakika ya 42 Manula anapeleka mashambulizi kwa Plateau United

Dakika ya 41 Plateau United wanapata kona inapigwa na haizai matunda

Dakika ya 40 Dilunga anapoteza umiliki wa mpira baada ya kupewa pasi na nahodha Bocco

Dakika ya 39, Dilunga anachezewa faulo

Dakika ya 38 Plateau wanakosa nafasi ya kuifunga Simba

Dakika ya 35 Onyango anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 34 Onyango anaokoa hatari 

Dakika ya 33 Mlinda mlango wa Plateau Abubakari Adam anaokoa hatari

Dakika ya 32 Manula anaokoa hatari

Dakika ya 31 Luis anaokoa hatari iliyokuwa inamfuata Manula

Dakika ya 30 Plateau wanapeleka mashambulizi kwa Manula

Dakika ya 29 Onyango anaokoa hatari

Dakika ya 27 Abha Omari anapelekea mashambulizi kwa Manula

Dakika ya 25 Plateu United wanarusha mpira kuelekea kwa Simba

Dakika ya 20 Manula anachezewa faulo

Dakika ya 18 Plateau wanapiga kona haileti matunda

Dakika ya 17 Luis anacheza faulo

Dakika ya 16 Jonas Mkude anachezewa faulo

Dakika ya 15 Kapombe anampa pasi Bocco

Dakika ya 13 Plateu United wanapiga kona haizai matunda

Dakika ya 10 Manula anaokoa hatari langoni mwake 


Dakika ya 7 John Bocco anafanya jaribio linakwenda nje ya uwanja

SOMA NA HII  JESHI LA ASTON VILLA DHIDI YA MANCHESTER CITY, SAMATTA NDANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here