Home Uncategorized RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO HII HAPA

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO HII HAPA


 LEO Novemba Mosi Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mechi mbili ambapo timu nne zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu namna hii:-


Kagera Sugar ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 5 itamenyana na Mtibwa Sugar ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 11, Uwanja wa Kaitaba.


Ruvu Shooting ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 12 itakutana na Coastal Union ambayo imecheza mechi  8 na kujikusanyia pointi 9.

SOMA NA HII  YANGA:HATUNA PRESHA,TUTAZIDI KUPAMBANA