Home Uncategorized MSHAMBULIAJI GWAMBINA AWEKA REKODI YAKE BONGO

MSHAMBULIAJI GWAMBINA AWEKA REKODI YAKE BONGO

0

 


Paul Nonga, nyota wa Gwambina FC anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga bao la mapema zaidi ndani ya Ligi Kuu Bara msimi wa 2020/21.


Alifunga bao hilo sekunde ya 33 kwa pasi ya Abdalah Kibadeni wakati timu yake ikilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Tanzania Prisons,  Uwanja wa Gwambina Complex.