Home Uncategorized JEMBE JIPYA LA YANGA KUANZA RASMI KAZI DHIDI YA DODOMA JIJI

JEMBE JIPYA LA YANGA KUANZA RASMI KAZI DHIDI YA DODOMA JIJI


NYOTA wa Yanga, ingizo jipya Saido Ntibanzokiza kesho anatarajiwa kuanza kuonyesha makeke yake ndani ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji FC.


Nyota huyo ambaye alisajiliwa kwa dili la miaka miwili akiwa ni mchezaji huru tayari vibali vyake vya kazi vimekamilika kilichobaki ni kocha kuamua kama anahitaji huduma yake au lah.


Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa tayari utaratibu wa vibali kwa Ntibanzokiza umekamilika kwa kufuata utaratibu hivyo anaweza kuanza kutumika ndani ya kikosi.

SOMA NA HII  LIVERPOOL NDO BASI TENA SASA, YAPIGWA ANFIELD JUMLAJUMLA