Home Uncategorized NYOTA YANGA AIBUKIA IHEFU FC

NYOTA YANGA AIBUKIA IHEFU FC

 


KIUNGO 
mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Juma Mahadhi amepekwa kwa mkopo ndani ya Klabu ya Ihefu FC inayonolewa na Kocha Mkuu Zuber Katwila.


Mahadhi alirejea kikosini mwanzoni mwa msimu baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu akiuguza majeraha ya goti


Kutokana na ushindani wa namba kwenye kikosi cha Yanga, imekuwa changamoto kwake kupata nafasi kwa Cedri Kaze.


Meneja wa mchezaji huyo Godlisetn Anderson, amethibitisha kuwa Mahadhi ataitumikia Ihefu Fc kwa miezi sita


SOMA NA HII  GWAMBINA WATUMIA DAKIKA 90 KUSOMA MBINU ZA SIMBA