Home Uncategorized RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 6

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 6


 LEO Jumapili ya Desemba 6 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbunga ambapo kutakuwa na michezo mitatu kwa timu sita kusaka pointi tatu kwenye viwanja vitatu tofauti.


Ratiba itakuwa namna hii:-


Mtibwa Sugar v Mwadui, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Ihefu v JKT Tanzania, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.


Yanga v Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa, Dar.

SOMA NA HII  KAGERA SUGAR: MSIMU UJAO TUTATISHA