Home Uncategorized


 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedrick Kaze kimewasili ndani ya Uwanja wa Amaan kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kumenyana na Azam FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.

Tayari kikosi ambacho kitavaana na Azam FC leo Januari 11 kimewekwa wazi ambacho kipo namna hii:-


SOMA NA HII  SIMBA QUEENS 5-0 BAOBAB QUEENS, YAIVUA UBINGWA JKT QUEENS