Home Uncategorized KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA

KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA


MABINGWA mara tano wa Kombe la Mapinduzi Azam FC wanaonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina tayari wameshatia timu ndani ya Uwanja wa Amaan, Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali dhidi ya Yanga.

Mchezo huo utapigwa Uwanja wa Amaan majira ya sa 10:15 kumsaka mshindi atakayetinga hatua ya fainali ambaye atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Simba na Namungo utakaochezwa saa 8:15.

Kikosi kitakachoanza leo Januari 11 hiki hapa:-


SOMA NA HII  MSIMU LIGI KUU BARA KUANZA KUTIMUA VUMBI SEPTEMBA 6