Home Uncategorized KINDOKI AMCHAMBUA MORRISON, AMTAJA HAJI MANARA KWA NAMNA HII – VIDEO

KINDOKI AMCHAMBUA MORRISON, AMTAJA HAJI MANARA KWA NAMNA HII – VIDEO


Shabiki na Mwanachama Kindakindaki wa Yanga Jimmy Kindoki amesema kuwa Bernard Morrison ni mchezaji mzuri ambaye amekuja kufanya makubwa katika klabu ya Yanga ikiwemo kuifanya Timu yake ipate ushindi.

Morrison ameendelea kujadiliwa katika mitandao ya kijamii baada ya jana kufanya mbwembwe katika mchezo wao dhidi ya Tanzania Prison na hivyo kuwaacha mashabiki wengi wa soka wakiwa wanajadili.

SOMA NA HII  SWALA LA MKWABI NDANI YA SIMBA LAIBUKA UPYA...TFF WATOA TAMKO HILI..!!