Home Uncategorized NAHODHA WA YANGA APATA PIGO, UONGOZI WATUMA SALAMU

NAHODHA WA YANGA APATA PIGO, UONGOZI WATUMA SALAMU


UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetoa pole kwa nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Bakari Mwamnyeto wa kupata msiba wa mchumba wake ambaye amefikiwa na umauti kutokana na matatizo ya uzazi.


Mwamnyeto ambaye alikuwa kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania ameondoka kambini kwa ajili ya msiba huo.

Uongozi wa Yanga umesema kuwa unampa pole Mwamnyeto kutokana na kupata pigo hilo baada ya mchumba wake pamoja na mtoto kukutwa na umauti kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

SOMA NA HII  YANGA: HATUKUWA NA PRESHA NA SIMBA TULIJUA HAWATATUSUMBUA NDIO MAANA TUMEWAKALISHA