Home Uncategorized DIALLO NI MANCHESTER UNITED

DIALLO NI MANCHESTER UNITED

 


Amezaliwa Abidjan Mji mkubwa ndani ya Ivory Coast ila aliibukia nchini Italia akiwa kijana mdogo.


Alianza kucheza ndani ya BocaBarco 2014 akiwa na miaka 12 na 2015 alisaini dili ndani ya Klabu ya Atalanta kwa kujiunga timu ya chini ya miaka 14.


Amekuwa  na ushkaji na nyavu ambapo msimu wa 2018-19 alitupia mabao 12 kwenye timu ya chini ya miaka 17.


Ni Amad Diallo winga mpya ndani ya Klabu ya Manchester United ambaye alisajiliwa Oktoba na amaekamilisha dili lake jana Januari 7.

SOMA NA HII  TANZANITE YABEBA KOMBE LA COSAFA, YALIPA KISASI KWA ZAMBIA LEO