Home Uncategorized VIDEO: SIMBA YAELEZA KUHUSU ISHU YA CHAMA, FAINALI DHIDI YA YANGA

VIDEO: SIMBA YAELEZA KUHUSU ISHU YA CHAMA, FAINALI DHIDI YA YANGA


SELEMAN Matola, Kaimu Kocha wa Klabu ya Simba amesema kuwa anaamini kuwa mchezo wa leo utakuwa ni mgumu na atawakosa nyota wake ambao hawapo kambini ikiwa ni pamoja na Clatous Chama kwa kuwa mashindano yana utaratibu wake.

SOMA NA HII  NUNO ANA FURAHA KUMUONA DIOGO AKIFANYA YAKE LIVERPOOL