Home Uncategorized WAPINZANI WA SIMBA KUTUA LEO

WAPINZANI WA SIMBA KUTUA LEO


 WAPINZANI wa Simba FC Platinum wanatarajiwa kutua timu kwenye ardhi ya Bongo leo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa marudio dhidi ya Simba.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Januari 6, Uwanja wa Mkapa.


Kwenye mchezo wa kwanza Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 hivyo inakazi ya kusaka ushindi  kwenye mchezo wa marudio.

Bao la ushindi kwa FC Platinum lilifungwa na Perfect Chikwende.


SOMA NA HII  SERIKALI YAZUNGUMZIA KUHUSU SIMBA NA YANGA KUKUTANA FA