Home Yanga SC KOMBE LA SHIRIKISHO: TANZANIA PRISONS 0-0 YANGA

KOMBE LA SHIRIKISHO: TANZANIA PRISONS 0-0 YANGA


 UWANJA wa Nelson Mandela 


Kombe la Shirikisho 

Tanzania Prisons 0-0 Yanga

Zinaongezwa dakika 2

Dakika ya 45 Carinhos anapiga faulo inaokolewa na Prisons

Dakika ya 43, Lamine anaanza na Mnata

Dakika ya 41, Mauta anafanya jaribio linakwenda nje ya 18

Dakika ya 40 Lamine anaanua majalo

Dakika ya 39, Prisons wanapata kona, Michael Ismail wa Prisons anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 37 Jeremia Juma anapokwa mpira, Nchimbi anapokwa mpira na Vedastus

Dakika ya 36 Fiston anafanya jaribio linaokolewa

Dakika ya 33 Asukile anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Nchimbi

Dakika ya 32 Kimenya anafanya jaribio linakwenda nje ya 18

Dakika ya 30 Carinhos anapiga kona inapanguliwa na Jeremiah 

Dakika ya 22 Nchimbi anachezewa faulo nje kidogo ya 18, Yacouba anapiga kichwa mpira wa juu unakwenda nje ya 18

Dakika ya 21 Prisons wanafanya jaribio linaokolewa na Mnata

Dakika ya 20, Jeremiah Ally anafanya jaribio linaokolewa na Metacha Mnata

Dakika ya 19, Carinhos amepiga faulo inakutana na kichwa cha Ninja inakwenda nje ya 18

Dakika ya 17 Carinhos anapeleka mbele majalo yanaokolewa 

Dakika ya 15 Adeyum anafanya jaribio nje ya 18 linakwenda nje ya lango 

Dakika ya 13 Benjamin Asukile a anapeleka mashambulizi Yanga,  Yacouba anaotea.


Dakika ya 12 Yacouba Sogne anafanya jaribio akiwa nje ya 18 halizai matunda.


Dakika ya 9 Prisons wanafanya jaribio linakwenda nje ya lango

SOMA NA HII  BAADA YA KUFUNGA USAJILI...YANGA MPYA KWENDA NA GIA HII MPYA KIMATAIFA...