Home news VIDEO: TSHABALALA RASMI NI MALI YA SIMBA

VIDEO: TSHABALALA RASMI NI MALI YA SIMBA


BEKI wa kushoto wa Simba, Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ amemalizana rasmi na mabosi wake baada ya kuenea tetesi kwamba anaweza kuondoka katika kikosi hicho kutokana na mkataba wake kubakiza miezi miwili, kuongeza kwake mkataba inamaanisha kwamba bado yupoyupo Simba, katibu wa Simba Arnold Kashembe aliweka wazi kuwa suala la muda wa mkataba wake aliosaini atafutwe Mtendaji Mkuu, Barbra Gonzalez.

 

SOMA NA HII  KRAMO ALIVYOWACHOMEA 'UTAMBI' ASEC MIMOSAS KWA SIMBA...