Home Simba SC KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA KAIZER CHIEFS

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA KAIZER CHIEFS


IKIWA leo Mei 22, kikosi cha Simba kinatarajiwa kumenyana na Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwa ni hatua ya robo fainali ya pili hiki hapa kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza kwa mujibu wa Championi Jumamosi:-

 Aishi Manula

Shomari Kapombe

Joash Onyango

Pascal Wawa

Mohamed Hussein

Bernard Morrison

Taddeo Lwanga

Mzamiru Yassin

Clatous Chama

Chris Mugalu

Luis Miquissone

Wachezaji ambao wataanza leo wana kibarua cha kupindua meza kwa kuwa mchezo wa kwanza walifungwa mabao 4-0 hivyo haitakuwa kazi rahisi kwa kuwa wapinzani wao wana faida ya mabao ambayo waliyapata kwenye mchezo wao wa kwanza, Mei 15, Uwanja wa FNB Soccer City.

SOMA NA HII  WAKATI YANGA NA GSM WAKITAKA KUMPA MIL 400 ...HIVI NDIVYO MO DEWJI ALIVYOFANYA KUFURU ISHU YA CHAMA....