Home Simba SC VIDEO: KUMBE WACHEZAJI WA SIMBA WALIPASWA KUSAJILIWA YANGA

VIDEO: KUMBE WACHEZAJI WA SIMBA WALIPASWA KUSAJILIWA YANGA


DK: TIBOROHA amesema kuwa kuna wachezaji ambao wanacheza kikosi cha Simba kwa sasa walipaswa kucheza ndani ya Yanga ila wapo Simba jambo lililomfanya ajitoe kwenye Kamati ya Ufundi wa Yanga kwa sababu wengi waliokuwa wanasajiliwa tofauti na yale mapendekezo ambayo yalikuwa yanapendekezwa.


 Miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa wanatajwa kuwa kwenye rada za Yanga na mwisho wa siku wakatua Simba ni pamoja na Luis Miquissone, Larry Bwalya na Clatous Chama.

 

SOMA NA HII  KAZI NI KUBWA KWA SIMBA MBELE YA AS VITA MAMBO YAMEBADILIKA