Home Azam FC VIDEO: OBREY CHIRWA MBALI NA MPIRA ANALIMA MATIKITI

VIDEO: OBREY CHIRWA MBALI NA MPIRA ANALIMA MATIKITI

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina, Obrey Chirwa amesema kuwa mbali na mpira amewekeza kwenye kilimo jambo ambalo limekuwa likimsaidia pia ambapo amesema kuwa analima nyanya, tikiti na karoti. 

 

SOMA NA HII  HAO AZAM FC NAO WANABALAA NYIE....MIPANGO YAO YA KUPINDUA MEZA IMEAKAA KIJASUSI ZAIDI...