Home FA Cup NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO: BIASHARA UNITED 0-1 YANGA

NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO: BIASHARA UNITED 0-1 YANGA


 KOMBE la Shirikisho,  hatua ya nusu fainali 


Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi


Kipindi cha kwanza 

Goooal dk 22 Yacouba 

Dk 18 Mpapi Nasibu anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kisinda

Dk 17 Mafie anapambana na Job

Dk 14 Tonombe anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika ya 12 Kaseke  anapiga pasi ya kisigino ndani ya 18 inakwenda nje ya 18 

Dakika ya 10 Kibwana Shomari anapiga kona ya Kwanza inakutana na kichwa cha Mauya kinakwenda nje ya lango

Dakika ya 7 Ramadhan Chombo anapiga kona ya kwanza Kwanza kwa Biashara United 

Dakika ya 5 Kisinda Kisinda afanye jaribio la Kwanza linaokolewa na James

Biashara United 0-0 Yanga

SOMA NA HII  DROO YA KOMBE LA SHIRIKISHO KUCHEZWA KESHO,