Home Ligi Kuu VPL: POLISI TANZANIA 0-1 SIMBA, CCM KIRUMBA

VPL: POLISI TANZANIA 0-1 SIMBA, CCM KIRUMBA


 UWANJA wa CCM Kirumba, mchezo wa Ligi Kuu Bara 

Polisi Tanzania 0-0 Simba
Dakika ya 12 Juma Ramadhan anapeleka mashambulizi kwa Manula.
Dakika ya 17 Bocco anacheza faulo kwa Datius Peter
Dakika ya 13 Mugalu anachezewa faulo na Yondani 
Dakika ya 11 Luis anapiga faulo inaokolewa na Mohamed
Dakika ya 10 Makame anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 8 Kapombe anamchezea faulo Kassim

Dakika ya 7 Daruesh Saliboko anatengeneza nafasi nzuri  anakosa nafasi Tariq Seif ndani ya 18 baada ya Manula kudaka

Dakika ya 5 Simba wanapata kona inapigwa na Luis Miquissone inaokolewa na mabeki wa Polisi Tanzania 

Dakika ya 3 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18 baada ya Makame kuunawa mpira uliopigwa na Mzamiru Yassin. 


Dakika ya 2 Bwalya anapiga shuti linakwenda nje ya lango


Mchezo wa Kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 2-0 Polisi Tanzania

SOMA NA HII  MTIBWA SUGAR YAKUBALIANA KUPAMBANA ILI KUBAKI NDANI YA LIGI