Home Azam FC BREAKING: AZAM FC YAMPA DILI LA MIAKA MIWILI MCONGO AMBAYE NI MSHAMBULIAJI

BREAKING: AZAM FC YAMPA DILI LA MIAKA MIWILI MCONGO AMBAYE NI MSHAMBULIAJI


BREAKING: UONGOZI wa Azam FC leo Julai 31 imemtangaza nyota mpya Idrisa Sembombo raia wa Congo ambaye ni mshambuliaji. 

Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex. 

Ameibuka ndani ya Azam FC akitokea Klabu ya El Gouna ya Misri hivyo atakuwepo mpaka 2023.

Pia aliwahi kucheza ndani ya Klabu ya Nkana FC ambayo Mtanzania Hassan Kessy ambaye kwa sasa yupo Mtibwa Sugar aliwahi kuitumikia.

SOMA NA HII  BAADA YA 'SURE BOY' KUWAVIMBIA KURUDI...UONGOZI AZAM FC WAIBUKA NA HILI..WATAJA OMBI LAKE...