Home news MUONEKANO WA NDIGA YA IHEFU FC YA MBEYA

MUONEKANO WA NDIGA YA IHEFU FC YA MBEYA


 MUONEKANO wa ndinga ya timu ya Ihefu FC ya Mbeya ambayo ni msimu wake wa kwanza ndani ya  Ligi Kuu Bara ikiwa inapambana kupata nafasi ya kucheza hatua ya mtoano.

Ipo nafasi ya16 na pointi 35 baada ya kucheza jumla ya mechi 33, mkononi imebakiwa na mechi moja ambayo ni kesho Julai 18.

Itacheza na KMC ya Dar iliyotoka kusepa na pointi tatu mazima mbele ya JKT Tanzania

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE