Home video VIDEO: MTOTO MWENYE KIPAJI AMKOSHA GOMES

VIDEO: MTOTO MWENYE KIPAJI AMKOSHA GOMES

MTOTO mwenye kipaji cha kuchezea mpira kutoka kituo cha Ivo Mapunda alimvutia Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, Uwanja wa Mkapa ilikuwa Julai 11 wakati Simba ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga.

 

SOMA NA HII  SIMBA: TUNAKWENDA KUWAFUNGA YANGA, MPILI HACHEZI