Home video VIDEO:CHAMA APEWA MKWANJA NA MASHABIKI WAKE

VIDEO:CHAMA APEWA MKWANJA NA MASHABIKI WAKE

BAADA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa jana Julai 7 kusoma KMC 0-2 Simba kuliwapa furaha mashabiki wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes na kumfanya wampe mkwanja nyota wa timu hiyo, Clatous Chama


Chama jana alitoa pasi moja ya bao kwa mshikaji wake Chris Mugalu dk ya 2 na kufanya afikishe jumla ya pasi 14 za mwisho. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:YANGA YAOMBA KUCHEZA NA SIMBA, MOROCCO