Home video VIDEO:LAMINE NA SARPONG NDO BASI TENA YANGA

VIDEO:LAMINE NA SARPONG NDO BASI TENA YANGA

IMEFAHAMIKA kuwa nyota wawili wa kikosi cha Yanga ambao ni Michael Sarpong huyu ni mshambuliaji pamoja na beki Lamine Moro wote raia wa Ghana hawatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao wa 2021-22 na kwa sasa taarifa zinaeleza kuwa mastaa hao hawapo kambini.

 

SOMA NA HII  VIDEO: NAMNA MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA FISTON ALIVYOTUA BONGO