Home Simba SC BREAKING NEWS: YUSUPH MHILU ASAINI SIMBA SC KWA MIAKA MITATU

BREAKING NEWS: YUSUPH MHILU ASAINI SIMBA SC KWA MIAKA MITATU


BREAKING: NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars aliyekuwa kikosi cha kwanza kilikuwa kinashiriki Cecafa Challenge 2021 U 23.

Leo Agosti 4 ametangazwa rasmi kuwa mali ya Simba baada ya kufikia makubaliano na timu ya Simba.

SOMA PIA :KIUNGO ALIYETEMWA KAGERA SUGAR AFUNGUKA KUSAINI SIMBA MIAKA MITATU

Amepewa dili la miaka mitatu kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Didier Gomes. 

SOMA NA HII  HATMA YA KAHATA NDANI YA SIMBA MSIMU UJAO IKO HIVI..!!