Home video VIDEO: REKODI ZA KIPA MPYA WA YANGA ZIPO HIVI

VIDEO: REKODI ZA KIPA MPYA WA YANGA ZIPO HIVI

YANGA imemtambulisha kipa mpya kutoka nchini Mali ambaye ni Djiguidi Arrao akiwa amefanikiwa kutwaa mataji matatu. 


Kipa huyo anakuja kuchukua nafasi ya Metacha Mnata ambaye amechwa rasmi Yanga. Rekodi zake zinaonyesha kuwa ni moja ya kipa mwenye uwezo mkubwa na uwezo wa michuano mikubwa na aliwahi kushiriki kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

 

SOMA NA HII  NYOTA TWIGA STARS AKIRI KUWA MASHINDANO YALIKUWA MAGUMU