Home video VIDEO:MKUDE, ONYANGO WAREJEA KAMBINI

VIDEO:MKUDE, ONYANGO WAREJEA KAMBINI


KIKOSI cha Simba leo kimerejea kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika. Pia wameweza kwenda Hospital ya Muhimbili kwa ajili ya kupata chanjo ya Corona. Miongoni mwa wachezaji ambao wamerejea ni pamoja Jonas Mkude, Joash Onyango, Gadiel Michael na Perfect Chikwende. 

 

SOMA NA HII  KOCHA AZAM AFUNGUKA MCHEZO WA KESHO