Home video VIDEO:VIKOSI VITATU VYA YANGA, MIFUMO MITATU INAJIBU

VIDEO:VIKOSI VITATU VYA YANGA, MIFUMO MITATU INAJIBU


KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kutokana na usajili ambao wameufanya kwa sasa wana uwezo wa kutumia mifumo mitatu katika kikosi chao.


 Hapa ni namna ambavyo mwalimu anaweza kuamua kuwapanga wachezaji wake na kuanza nao kwa mifumo mitatu itakuwa namna hii:- 

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA: TUNAKWENDA KIGOMA KUPIGA PALEPALE KWENYE MSHONO