Home Habari za michezo MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA

MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA

EE BWANA!! MAYELE AWEKA REKODI HII YA KIBABE...AMEZUNGUMZA HAYA

Goli la kwanza alilofunga Mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele kwenye mchezo dhidi ya Rivers United limechaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kuwa ndilo bora la wiki kati ya magoli yote yaliyofungwa mechi za raundi ya kwanza robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Kwenye mchezo huo, Mayele aliweka kambani magoli mawili ambapo la kwanza ndilo lililoshinda. Goli hilo alipokea asist kutoka kwa Kapteni Bakari Mwamnyeto kama ilivyokuwa kwa goli la pili.

SOMA NA HII  BAADA YA KUONA VIWANGO VYA MAKIPA YANGA...MBRAZILI AGUNA KISHA AKATOA HILI..ADAI ITAKUWA NGUMU...

3 COMMENTS

  1. wanatuabisha sna yanga kwann lakini migogoro shida iko wap au.mwekezaji hana hela zakutisha atupishe na yanga yetu