Home news HILI HAPA JESHI LA YANGA LITAKALOWAVAA WANAIJERIA KESHO KUTWA

HILI HAPA JESHI LA YANGA LITAKALOWAVAA WANAIJERIA KESHO KUTWA


JUMAPILI, Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Rivers United kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ni wa hatua ya awali.

Kikosi ambacho kinapewa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza Septemba 12 kipo namna hii:-

Diarra Djigui 

Kibwana Shomari 

Bakari Mwamnyeto 

Dickson Job 

Adeyum Saleh 

Moloko

Tonombe Mukoko 

Zawad Mauya 

Fei Toto 

Heritier Makambo


SOMA NA HII  NABI AMRUDISHA DIARA...MAYELE, NTIBAZONKIZA KAMA KAWA...'SURE BOY' AENDELEA KUCHOMA MAHINDI..