Home video SIMBA YAIPONGEZA YANGA KWA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA…,YATOA AHADI NYINGINE

SIMBA YAIPONGEZA YANGA KWA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA…,YATOA AHADI NYINGINE

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Septemba 25 ambao ni wa Ngao ya Jamii na itakuwa pale Uwanja wa Mkapa. 


 Kaimu Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga amewapa hongera na pole Yanga kwa kutolewa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika huku akiahidi kuwa watakuwa na wakati mweingine kwenye mashindano ya kimataifa msimu ujao.

Pia amewapa pongezi Azam FC, Biashara United kwa kuweza kutinga raundi ya kwanza katika Kombe la Shirikisho.

 

SOMA NA HII  VIDEO: SHABIKI SIMBA ANAVYOIPENDA SIMBA HUKU YULE WA YANGA AKIWEKA WAZI KWAMBA WANASHINDA