Home video TAZAMA NYOMI UWANJA WA MKAPA NAMNA ILIVYOKUWA

TAZAMA NYOMI UWANJA WA MKAPA NAMNA ILIVYOKUWA

SEPTEMBA 19 bado Wanasimba wanakumbuka namna utambulisho wao wa wachezaji wa kikosi cha msimu wa 2021/22 ulivyofana katika tamasha la Simba Day.

 
Licha ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe ila Uwanja wa Mkapa nyomi ilikuwa kama yote.

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA YAMTETEA FISTON ISHU YA KUKOSA PENALTI