Home Burudani MWAKINYO AINGIA ANGA NYINGINE KIMATAIFA

MWAKINYO AINGIA ANGA NYINGINE KIMATAIFA


BONDIA wa Kimataifa kutoka Tanzania, Hassan Mwakinyo (26) mwenye uzani wa Super Welter amepanda kutoka nafasi ya 14 hadi nafasi ya 10 katika viwango vya ubora Duniani kwenye orodha ya mabondia wenye uzani huo.

 Mwakinyo sasa amekuwa wa 10 kati ya mabondia 1,532 duniani ikiwa ni mwezi mmoja baada ya kumtwanga Bondia wa Kimatifa kutoka nchini Namibia, Julius Munyelele Indongo.


SOMA NA HII  BONDIA MANNY PACQUIAO ASTAAFU, NGUVU ZAKE AZIHAMISHIA HUKU