Home Habari za michezo KUHUSU SIMBA DAY KUPELEKWA MBAGALA ZAKHEM…AHMED ALLY AFUNGUKA SABABU NA MIKAKATI ILIVYO….

KUHUSU SIMBA DAY KUPELEKWA MBAGALA ZAKHEM…AHMED ALLY AFUNGUKA SABABU NA MIKAKATI ILIVYO….


Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema wiki ya Simba itazinduliwa Julai 31, 2022 katika viwanja vya Mbagala Zakhem kuanzia saa 3 asubuhi.

“Baada ya kuzindua rasmi wiki ya Simba kila shabiki atakuwa na wajibu wa kufanya shighulu mbalimbali za kijamii ili kurudisha fadhila katika jamii zetu.

“Na kama hauna zuwezo wa kuwapelekea chochote wale wasiojiweza basi fagia hata barabara kuhakikisha tunafanya jambo lililo jema,” amesema Ahmed Ally.

Kumbuka Simba Day itakuwa Agosti 8, 2022.

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA SIMBA QUEENS WAIPIGIA MATIZI MLANDIZI QUEENS