Home Habari za michezo KUHUSU MABADILIKO YA SHERIA KWA WACHEZAJI WOTE WA KIGENI KUTUMIKA MSIMU HUU...

KUHUSU MABADILIKO YA SHERIA KWA WACHEZAJI WOTE WA KIGENI KUTUMIKA MSIMU HUU WA LIGI KUU…UKWELI HUU HAPA…


Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kupitia kikao chake cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichokaa Jijini Arusha kimepitisha maboresho ya Kanuni kuelekea Msimu mpya ambao pazia limefunguliwa jana wa Agosti 13, 2022/23.

Kamati imepitisha kanuni mpya inayoruhusu Klabu kusajili wasiozidi 12 wakigeni na kuwatumia hadi wachezaji wote 12 katika mchezo mmoja.

Hapo awali kanuni ilikuwa inaruhusu kutumia wachezaji wakigeni wasiozidi nane (8) kwenye mchezo mmoja katika wachezaji 12 watakaosajiliwa.

SOMA NA HII  PAMOJA NA LIVERPOOL KUUKOSA UBINGWA WA EPL DHIDI YA MAN CITY MSIMU HUU ...KLOPP AMBWAGA GUARDIOLA KWA UBORA...