Home Habari za michezo FT: CLUB AFRICAIN 0-1 YANGA SC….AZIZ KI AANZA KULIPA GHARAMA ZA USAJILI…

FT: CLUB AFRICAIN 0-1 YANGA SC….AZIZ KI AANZA KULIPA GHARAMA ZA USAJILI…

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara Timu ya Yanga imetinga hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Africa baada ya kuichapa bao 1-0 wenyeji club Africain mchezo uliopigwa nchini Tunisia.

Shujaa wa Yanga ni kiungo mshambuliaji kutoka nchini Burkana faso akitokea benchi aliipatia bao muhimu timu yake dakika ya 79 Stephane Aziz Ki akimalizia pasi ya Fiston Mayele

SOMA NA HII  SIMBA, YANGA KABLA YA LIGI KUANZA KIMESHAUMANA MAPEMAAA

1 COMMENT

  1. WAPI MKUFUNZI WENU OKWA mlisema eti alisema bado miaka miwili,SISI HATUONGI ,AU KUPEWA KAMATI CAF fair play is our mortal.