Home Habari za michezo FT: KMC 0-1 YANGA SC…MZINZE AFANYA LILILOMSHINDA JOHN BOCCO JANA…MASTAA WAPIGWA BENCHI…

FT: KMC 0-1 YANGA SC…MZINZE AFANYA LILILOMSHINDA JOHN BOCCO JANA…MASTAA WAPIGWA BENCHI…

Habari za Yanga

KLABU ya YAnga imeendelea kujiweka katika sehemu zuri kutetea taji lake la Ligi Kuu NBC mara baada ya kuinyuka KMC 1-0, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo Yanga Sc iliwapumzisha nyota wao waliocheza kwenye mechi ya Kimataifa akiwemo Mayele, Bangala, Moloko, Job, Lomalisa, Mudathir, Pamoja na Aucho.

Yanga sc ilianza kupata bao dakika ya 38 ya mchezo kupitia kwa nyota wao kinda Clement Mzize ambaye alianza na baadae kumpIsha Fiston Mayele kipindi cha pili kwenye mchezo huo.

SOMA NA HII  SAKATA LA MANARA GSM WATAJWA,KUNA MBUKINAFASO WA YANGA,NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI