- Habari za michezo
- Habari za Yanga
- Habari za Yanga Leo
- Michezo
- Michezo Bongo
- Michezo Soka la Bongo
- news
- Yanga SC

Mwanasheria huyo amesema TFF ilipaswa kujiuliza ikiwa mchezaji huyo alivunja mkataba kwa njia sahihi au la, na kama hakutumia njia sahihi alipaswa apigwe faini na si kulazimishwa kuitumikia klabu hiyo.
TFF Na wapenda sana ila pamoja na hilo sioni hatua mnazochukuwa kuhusu Fei Toto…Ninachokiona ni ONYO Kali kwa wachezaji wa ndani kudai maslahi yao pale wanapohisi mikataba yao iboreshwe kimaslahi…Kweli Mmeamua kuwakata kilimilimi kwa njia HIYO…!!!…