Golikipa BORA wa zamani wa Nigeria Vincent Enyeama (40) ametajwa kuwa Golikipa Bora wa Muda Wote wa Afrika na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Kandanda na Takwimu – IFFHS.
Enyema aliichezea Nigeria katika mechi 101, Kombe la Dunia mara tatu na kushinda AFCON 2013.