Home CAF MAGOLI BORA CAF: FRIII KIKI YA CHAMA YAPIGIWA SALUTI CAF…ULE MSHUTI WA...

MAGOLI BORA CAF: FRIII KIKI YA CHAMA YAPIGIWA SALUTI CAF…ULE MSHUTI WA KANOUTE SASA

MAGOLI BORA CAF: FRIII KIKI YA CHAMA YAPIGIWA SALUTI CAF...ULE MSHUTI WA KANOUTE SASA

CAF imetoa mabao bora katika mzunguko wa 5 ambapo klabu ya Simba SC ya imetoa wachezaji wawili ambao ni Saido Kanoute na Clatous chama ambao walifunga mechi dhidi ya Horoya AC katika uwanja wa Mkapa kwenye ushindi wa mabao 7-0.

Mabao yaliyochaguliwa ni lile la kwanza la Chama alilofunga dakika ya 10 kwa frii kiki’ na la Kanoute alilofunga lililokuwa la saba dakika ya 87 kwa shuti kali.

Siku chache Chama alitangazwa kuwa mchezaji Bora wa wiki wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa mechi za Mzunguko wa nne

SOMA NA HII  UKWELI KUHUSU KIUNGO MPYA WA YANGA HUU HAPA....ISHU YA FEI TOTO YATAJWA TENA..