Home Makala MFAHAMU MKONGWE…SUNDAY RAMADHANI MANARA…KOMPYUTA

MFAHAMU MKONGWE…SUNDAY RAMADHANI MANARA…KOMPYUTA

Mfahamu mkongwe Sunday Ramadhani Manara
Sunday Ramadhani Manara

Sunday Ramadhani Manara “Kompyuta”
Ndiye mchezaji wa kwanza wa kitanzania Kucheza mpira ulaya
Alizaliwa 23–11–1952 ana miaka 70 mpaka sasa
Alizaliwa kigoma
Alisoma shule ya msingi white father ujiji kigoma mwaka 1961
Baadaye familiya ikahamia dar es salaam
Alianza kucheza mpira kwenye timu Ya buguruni star baadaye young kinya
Baadaye alihamia yanga b Kwenye miaka ya1967
Alianza kucheza yanga kubwa mwaka 1969 mpaka mwaka 1976
Alicheza Pan Afrika
Alianza kucheza ulaya timu ya Heracles ya Uholanzi 1978
Alihamia timu ya New York eagle Ya marekani
Baadaye Alicheza mpira Australia na timu ya AL-Nasri Ya Dubai
Alistaafu mpira mwaka 1984
Alichezea timu Ya taifa kuanzia mwaka 1970-1976
Kama nimekosea naomba nisahihishwe
Wahenga naomba coment zetu

SOMA NA HII  MOLOKO NI ZAIDI YA AZIZ KI...WANA YANGA HAWAMPI HESHIMA..ANACHANGIA SANA USHINDI