Home Habari za michezo MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…IDADI KAMILI YA MAGOLI ALIYOFUNGA TANGU ATUE...

MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…IDADI KAMILI YA MAGOLI ALIYOFUNGA TANGU ATUE YANGA

Habari za Yanga

Msemaji wa Klabu ya Wananchi, Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports, Ali Kamwe amesema kuwa Mshambuliaji hatari wa timu hiyo,

Fiston Kalala Mayele amesaliwa na magoli mawili (2) pekee ili kufikisha idadi ya mabao 50 tangu kusajiliwa kwake.

Fiston Mayele ni miongoni mwa wachezaji wanaotarajiwa kukiwasha kwenye mchezo wa Derby ya Kariakoo siku ya Jumapili ya Aprili 16, 2023.

Mpaka sasa nyota huyo amefikisha jumla ya magoli 16 Ligi Kuu sawa na yale aliyofunga msimu uliyopita.

SOMA NA HII  MSEMAJI WA YANGA ATAJA SIFA HIZI ZA NAMBA SITA WA YANGA