Home Habari za michezo BALEKE AWEKA REKOD YA KIBABE BONGO…PHIRI TUMBO JOTO MSIMBAZI

BALEKE AWEKA REKOD YA KIBABE BONGO…PHIRI TUMBO JOTO MSIMBAZI

Habari za Simba

Straika wa Simba SC, Jean Othos Baleke aliesajiliwa wakati wa Dirisha dogo, katika mechi nne zilizopita za mashindano yote amekuwa na takwimu zinazowasisimua wengi.

Takwimu za Baleke zinazomeka kama ifuatavyo;
Mechi 4
Mabao 9
Hat-trick 2
Amefunga mabao 12 katika mashindano yote tangu ulipoanza mwaka 2023, mabao mengi zaidi ya mchezaji mwingine yeyote wa Nbc Premier League.
Mechi 12
Mabao 12
Wastani wa kufunga bao 1 kwa kila mechi 1
Mabao 5 (Nbc Premier League)
Mabao 4 (Azam Sports federation cup)
Mabao 3 (Caf Champions league)

SOMA NA HII  MAMA SAMIA AMWAGA MANOTI TAIFA STARS...MASTAA WAPAGAWA