Home Habari za michezo YANGA WAMUONGEZEA MPUNGA BEKI WAO HUYU…NI BAADA YA KUWAONYESHA MAAJABU

YANGA WAMUONGEZEA MPUNGA BEKI WAO HUYU…NI BAADA YA KUWAONYESHA MAAJABU

Habari za Yanga

Rais wa Yanga Eng. Hersi Said pamoja na Uongozi wake wamevutiwa na kiwango bora cha beki wa kati Ibrahim Bacca anachoendelea kukionyesha kila anapopata nafasi, hivyo klabu imeamua kufanya mazungumzo nae ya kuboresha Mkataba wake na malipo juu zaidi.

Kocha wa Yanga ameoneshwa kukoshwa na kiwango cha mlinzi huyo na anaamini atakuwa mchezaji muhimu kikosini.

SOMA NA HII  ODDS ZA USIKU WA ULAYA NI HIZI HAPA...WEKA MKEKA WAKO NA MERIDIANBET...