Home Habari za michezo MERIDIANBET WAZIDI KUTAPAKAA DAR ….WAPELEKA SHANGWE BUGURUNI MALAPA….

MERIDIANBET WAZIDI KUTAPAKAA DAR ….WAPELEKA SHANGWE BUGURUNI MALAPA….

Meridianbet

Mwendo ni ule ule ambapo leo hii Meridianbet wameendelea na uzinduzi wa maduka ya kubashiri katika maeneo mbalimbali na safari hii wamezindua duka Buguruni Malapa litawasaidia wakazi wa hapo wanaohitaji kubashiri kiurahisi.

Hiyo sasa imekuwa ni kama Desturi kwa Kampuni hii ambayo inaongoza kwa kuwa na ODDS KUBWA hapa Tanzania kuzindua maduka na kuonyesha kuwa wanawajali sana wateja wao ambao hupenda kubashiri kwa kutumia Meridianbet. Lakini vilevile inatoa machaguo zaidi ya 1000 kwa kila mechi ambayo unataka kubashiri iwe Ligi kuu, FA, UEFA na mingine kibao bila kusahau michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Sloti, Aviator, Roulette Poker na Blackjack.

Afisa Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu amesema kuwa; “Huu ni mwendelezo wa kuongeza maduka ya kubashiri na kuzidi kuongeza huduma zetu ili kuzidi kuwafikia zaidi wateja wetu. Wafanyabiashara na wajasiriamali wote wa Buguruni Malapa wanakaribishwa sana na wote waliokuwa karibu na Buguruni Malapa wanakaribishwa kubeti na kucheza michezo ya kasino kama Roulette na Aviator hapa kwenye duka letu la kubashiri.”

Sub-Heading:

MeridianbetPata mizunguko 50 ya bure hapo hapo ukicheza sloti na michezo mingine ya kasino ya mtandaoni kama vile Blackjack, Aviator na Poker ukijisajili na Meridianbet. Jisajili sasa kupitia link hii

Unatafuta ODDS KUBWA? Fika kwenye duka letu la kubashiri Buguruni Malapa utakutana na kile ambacho unachokitaka na Meridianbet wanakupa kile ambacho unataka wewe kama mdau wao wa kubashiri, kwani mteja ni mfalme. Lakini pia unaweza Ukaturbo mkeka wako ili kuokoa pesa yako au unataka pesa ya haraka. Yote haya unayakuta hapa hapa Meridianbet.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni na Meridianbet

Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino kama vile Aviator na Roulette ambayo inafaida ya hali ya juu na odds kubwa uzipendazo wewe mdau wa kubashiri mtandaoni. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo “Chagua Tukupe”, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao hatakama hujui mpira unaweza kuicheza.

Wakazi wa eneo hilo wamefurahishwa sana na ujio wa Meridianbet, na wameshukuru sana kwa kuwafungulia Duka jipya la kubashiria katika eneo hilo na watajiunga na Meridianbet kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi zaidi.

Bashiri na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi kama vile michezo ya sloti Poker, Aviator, na Roulette.

 NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

SOMA NA HII  PAMOJA NA KUCHAPWA JUZI...KIUNGO WA BAMAKO AITAJA YANGA NA MAYELE...ISHU NZIMA IKO HIVI...