Tetesi za usajili wa Simba
Habari za michezo

WINGA HUYU HATARI ATHIBITISHA KUSAJILIWA NA SIMBA…

Staff Desk July 6, 2023 1:14 pm

Habari njema kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya SIMBA ni kunaswa kwa saini ya winga wa maana anayejua kazi na mbio mithiri zenye hatari kutoka Asec Mimosas, KRAMO AUBIN

Kramo (27) Msimu uliopita kwenye mechi za Kombe la Shirikisho, aliupiga mwingi na kufunga mabao manne

katika mechi tatu kati ya sita za hatua ya Makundi na timu hiyo kutolewa nusu fainali na USM Alger. Simba imefanikiwa kunasa saini yake baada ya kupambana kwelikweli na watani wao, Young Africans.

AZAM FC WAENDELEA KUFANYA MAKUBWA…WASHUSHA ‘KOCHA JIPYA’ LA MPIRA…NI BALAA… KOCHA HUYU WA AZAM AANGUKA MKATABA WA MAANA SIMBA….VYUMA VYAZIDI KUSHUSHWA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply