Home Azam FC AZAM FC WAENDELEA KUFANYA MAKUBWA…WASHUSHA ‘KOCHA JIPYA’ LA MPIRA…NI BALAA… Azam FCHabari za michezoMichezoMichezo BongoMichezo Soka la Bongonews AZAM FC WAENDELEA KUFANYA MAKUBWA…WASHUSHA ‘KOCHA JIPYA’ LA MPIRA…NI BALAA… Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp AZAM FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya Julai 5, 2023 kumtambulisha kocha msaidizi kikosini hapo. Miamba hiyo ya kusini mwa Dar es Salaam imetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na kocha Mfaransa Bruno Ferry. Kwenye taarifa iliyotolewa na Azam Fc kupitia kurasa zake za mitandao imesema “Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa miaka mitatu na Bruno Ferry atakayekuwa kocha msaidizi” Kocha huyo mwenye miaka 56, atasaidiana na kocha mkuu wa timu hiyo youssouph Dabo kukisuka kikosi hicho msimu ujao. Share this:Click to share on Twitter (Opens in new window)Click to share on Facebook (Opens in new window)Click to share on WhatsApp (Opens in new window)Click to share on Telegram (Opens in new window) Related SOMA NA HII BANGALA SASA KUKIPIGA DHIDI YA YANGA AGOUST 9, CHEKI AKIJIFUA KAMBINI NA AZAM