Home Habari za michezo GAMONDI AIPA TANO SIMBA, BAADA YA KIPIGO

GAMONDI AIPA TANO SIMBA, BAADA YA KIPIGO

Habari za Yanga SC

Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha vijana wake.

Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha vijana wake. Gamond amewasifia pia wapinzani wao kwa kusema kuwa Simba ni timu kubwa na inawachezaji wazuri ambao waliwapa changamoto kubwa uwanjani.

SOMA NA HII  ISHU YA AUCHO IKO HIVI UKO CAF