Home Habari za michezo SEPTEMBER 16 SIMBA WANAJAMBO LAO NA POWER DYNAMO…. MAANDALIZI YAPO HIVI

SEPTEMBER 16 SIMBA WANAJAMBO LAO NA POWER DYNAMO…. MAANDALIZI YAPO HIVI

Ni rasmi Mnyama Simba SC anaanza kutupa tiketi yake ya kwanza kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya mabingwa wa Zambia Power Dynamos Septemba 16, 2023.

Simba wataanzia ugenini kucheza mchezo huo wa kwanza kisha watarejea nchini kucheza mchezo wa marudiano ambapo mshindi wa jumla, atakuwa amekata rasmi tiketi ya kuingia hatua ya Makundi.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kikosi kimerejea kambini kuwawinda Power Dynamos.

SOMA NA HII  SIMBA QUEENS KUANZA KUUSAKA UBINGWA WA LIGI YA MABINGWA AFRIKA 'WANAWAKE' KWA KUCHEZA NA HAWA....